Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Eleuter Massawe
Umepakuliwa mara 5,240 | Umetazamwa mara 8,998
Download Nota Download MidiKiitikio: Nimrudishie Bwana, nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote Alionitendea? (Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana x2)
1.Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana/naam/mbele ya watu wake wote.
2.Ina thamani machoni pa Bwana/ mauti/ ya wacha Mungu wake.
3.Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako/mwana wa mjakazi wako/umevifungua vifungo vyangu.
4.Nitakutolea dhabihu/ya kukushukuru/na kulitangaza jina la Bwana