Ingia / Jisajili

Itengenezeni Njia

Mtunzi: Kithome Francis
> Mfahamu Zaidi Kithome Francis
> Tazama Nyimbo nyingine za Kithome Francis

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: kithome Francis

Umepakuliwa mara 235 | Umetazamwa mara 669

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Itengenezeni njia ya Bwana (njia ya Bwana) Itengenezeni njia ya Bwana yanyosheni mapito ya Bwana Mapito ya Bwana x2 Stanzas 1. Kila bonde litajazwa na kilima kitashuswa x2 2. Na palipopotoka pataweza kunyooshwa, na palipo na ruza patasawazishwa 3. Watu wote wenye mwili wataona utukufu, wenye mwili wataona wokovu wa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa