Ingia / Jisajili

Onjeni Mwone

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 34

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ONJENI MWONE YA KUWA BWANA YU MWEMA (o-njeni) ONJENI MWONE YA KUWA BWANA YU MWEMA X2 Fine (1)Nitamhimidi Bwana Kila wakati.sifa zake zi kinywani mwangu.daima.katika.Bwana.nafsi yangu itajisifu.Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.(2) Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki.na masikio yake hukielekea kilio chao.uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya .Aliondoe kumbukumbu lao duniani.(3).Walilia .naye Bwana akasikia.akawaponya na taabu zao zote.Bwana Yu Karibu nao waliovunjika moyo.na waliopondeka roho huwaokoa.(4).Mateso ya mwenye haki ni mengi.Lakini Bwana humponya nayo yote.huihifadhi mifupa yake yote. Haukuvunjika hats mmoja.(5).Uovu utamwua.asiye haki.nao wa mchukiao mwenye haki watahukumiwa.Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake.wala hawatahukumiwa wore wamkimbiliao

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa