Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,363 | Umetazamwa mara 12,830
Download Nota Download Midi
DEOGRATIAS R. KIDAHA
MPWAPWA HIGH SCHOOL
31/07/2004
Nitaimba na kucheza cheza, nitaruka na kuyumba yumba nikilitaja Jina Maria.
1. a) Nami naona fahari kulitaja Jina lako,
b) Hata nikiwa gerezani nitalisifu Jina lako Maria.
2. a) Wewe ndiwe mwombezi kimbilio langu Mama,
b) Naomba utuombee kwa mwanao Yesu kristu atuokoe.
3. a) Nitaimba na kucheza nitaruka kwa furaha,
b) Nitayumba kwa maringo nikilitaja Jina lako Mama Maria.