Ingia / Jisajili

Acheni Visingizio, Toeni

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 15,925 | Umetazamwa mara 26,910

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Acheni visingizio wanadamu acheni visingizio kwamba hali ni ngumu x 2
Nendeni mkatoe sadaka nendeni mkatoe sadaka nendeni mkatoe sadaka kwa Bwana x 2

  1. Siyo ninyi wenye magari ya kifahari mnaodai hali ni ngumu.
    Siyo ninyi wenye fedha nyingi mifukoni mnaodai hali ni ngumu.
     
  2. Siyo ninyi wenye majumba ya kifahari mnaodai hali ni ngumu.
    Ndani yake mmejaza vito vya thamani mnaodai hali ni ngumu.
     
  3. Siyo ninyi mliovuna mazao mengi mnaodai hali ni ngumu.
    Siyo ninyi mnapokea mishahara mnaodai hali ni ngumu.
     
  4. Msidhani mmepata kwa uwezo wenu mnaodai hali ni ngumu.
    Bali ni Mungu aliye wajalia hayo mnaodai hali ni ngumu.
     
  5. Kumbukeni mjane alotoa dinari mnaodai hali ni ngumu.
    Hakubakiza chochote mfukoni mwake mnaodai hali ni ngumu.

Maoni - Toa Maoni

Sprinah Feb 16, 2020
Beautiful lylics, beautiful song. Was sung today at blessed Catholic Church buru and can’t get enough of it. Sadly, can’t find full clip of the song or hamja upload ?. ????????

Alphonce mwakuya Oct 24, 2018
Kazi nzuri lakini naomba marekebisho Kwa hiyo sehemu ya wanadamu maana wanadamu ni jina ambalo halina wiano na wakristu. Tafuta namna ya kuediti kidogo ndo iwalenge wakristu

Fidel Oct 09, 2017
Hongera sanaaa

Kitatu Apr 17, 2017
Wimbo mzuri kabisa

justin kayiri Jan 10, 2017
aksanti kwa yote!

tony makau Sep 11, 2016
Wimbo uliotungwa ukatungika...hongera kaka

May 06, 2016
Hakika Wimbo Ni Mzuri, Ni Mtam Kuimba, Unafundisha, Unaelimisha. Mungu Azidi Kutumia Watu Wake Ktk Kuinjilisha!

May 04, 2016
hongereni Ila tunaomba pia mtuwekee mp3 za kikatolic za kutoxha ni blog nzur napenda kazi yenu

Toa Maoni yako hapa