Ingia / Jisajili

Jiwe Walilolikataa Waashi

Mtunzi: Norbert Hamaro
> Mfahamu Zaidi Norbert Hamaro
> Tazama Nyimbo nyingine za Norbert Hamaro

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Norbert Hamaro

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 6

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Jiwe Walilolikataa Waashi Limekuwa Jiwe kuu, Kuu la Pembeni Limekuwa jiwe la Pembeni

1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele ni heri kumkimbilia bwana kuliko kuwatumainia wanadamu, ni heri kumkimbilia bwana kuliko kuwatumaini wakuu

2. Nitakushukuru kwa maana umenijibu nawe umekuwa wokovu wangu jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la Pembeni

3. Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la bwana tumewabarikia toka nyumbani mwa bwana ndiye Mungu wangu nami nitakushukuru ndiwe Mungu wangu nami nitakutukuza

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa