Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 6,620 | Umetazamwa mara 11,932
Download Nota Download Midi1. Jongeeni wakristu furahini sana, Jongeeni Jongeeni kwa Betlehemu, Mfalme wa mbingu kaja duniani, Jongeeni tumwabudu Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu Yesu Kristu.
2. Waona wachunga, Malaika wa Mungu, Wasikia sauti za uwingu, Na sisi twende Betlehemu pangoni, Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu Yesu Kristu.
3. Ee Mwana wa Mungu Mfalme wa uwingu, Ukawa kitoto binadamu, Mungu kitoto anakaa zizini, Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu Yesu Kristu.
4. Mapendo makubwa, Yesu atupenda, Ametukomboa kwa mapendo, Tumpende tena kweli kwa vitendo, Jongeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu, Jongeeni tumwabudu Yesu Kristu.