Mtunzi: Felix Mulei M
> Mfahamu Zaidi Felix Mulei M
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Mulei M
Makundi Nyimbo: Misa | Mwanzo
Umepakiwa na: Felix Muley
Umepakuliwa mara 101 | Umetazamwa mara 175
Download Nota Download MidiJUBILEE YA MATUMAINI 2025
1.
1. Furaha
kubwa, twasherehekea, kwa Imani kuu mwaka wa matumaini mama kanisa ametualika -tusherehekee
Pamoja kwa kutembea kuuadhimisha -
kwa shangwe mwaka wa Jubilei
//Kwa Furaha – Kwa shangwe mwaka wa
Jubilei
Tuandamane kwa Pamoja – kwa shangwe
mwaka wa Jubilei
{Mlango wa matumaini – umefunguka njooni tuingie, ni Jubilei ya matumaini}
x2
2.
2. Mwaka
mzima, tunakumbushwa, kusali Pamoja mwaka wa matumaini kufanya hija katika
kanisa- tusherehekee
Pamoja kufanya toba Pamoja na sala –
kwa shangwe mwaka wa Jubilei
3. 3. Baba
mtakatifu anatualika, kuomba na kufanya hija za sala,
{Imani daima na matumaini
yataongezeka maishani mwetu} x2