Ingia / Jisajili

Jubilei Ya Mwaka Mtakatifu.

Mtunzi: Clement I. P. Msungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Clement I. P. Msungu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Anophrine desdeus

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 238

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kama mwali wa moto tumaini langu linawaka, wimbo huu ukufikie.

Chanzo cha uzima usio na mwisho kwenye safari ya maisha nakutumainia.

1. Kila lugha, watu na Taifa tunapata nuru katika Neno lako. Wana na mabinti wanyonge waliotawanyika wanakusanywa, wanakusanywa kwa mwanao mpendwa.

2. Ee Mungu mpole na mvumilivu sana ututazame sote, yazaliwe mapambazuko ya matumaini mapya, mbingu na dunia zifanyike upya, pitisha ngome - Roho wa uzima.

3. Inua macho yako, songa kwa upepo, kaza mwendo Mungu anakuja kwa wakati, mtazame mwana aliyefanyika mtu, Maelfu kwa maelfu wanapata uzima.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa