Ingia / Jisajili

Jubilei Ya Wawata

Mtunzi: Gustav G. Hofi
> Mfahamu Zaidi Gustav G. Hofi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gustav G. Hofi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gustav Hofi

Umepakuliwa mara 44 | Umetazamwa mara 88

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni Jubilei, ni shangwe kubwa Wawata tufurahi. Ni Jubilei, tumetimiza miaka hamsini. Wawata tulijenge kanisa la Mungu Wawata tulitegemeze, Wawata tushiriki kuieneza Injili popote duniani Wawata, Kwa upendo wa Kristo tutumikie na kuwajibika.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa