Ingia / Jisajili

Jumuiya Ndogondogo

Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 1,588 | Umetazamwa mara 5,017

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Jumuiya ndogondogo ni kanisa la nyumbani, litukusanyalo kulitafakari neno la Mungu x2

Kusali pamoja, na kuishi kwa upendo, na kusaidiana katika shida mbalimbali x2

  1. Kwa moyo mmoja na kwa roho moja, ewe ndugu yangu tushiriki jumuiya.
  2. Huko twa jifunza  mambo ya kiroho, tena twajifunza kushirikiana vema.
  3. Kwenye matatizo twashirikiana, hata kwenye raha twashiriki kwa pamoja.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa