Ingia / Jisajili

Kaa Nami Yesu

Mtunzi: Joseph Maru Marungu
> Mfahamu Zaidi Joseph Maru Marungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Maru Marungu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Joseph Marungu

Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 60

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kaa nami Yesu wangu njoo ukae nami ndani yangu nami ndani yako ili nipate uzima,njoo unishibishe kwa mwili wako na damu yako ili nipate uzima 1,mwili wako kwaajili yetu kwaajili yetu sisi maskini njoo Yesu wangu njoo kwangu ukae nami 2,Damu yako kwaajili yetu kwaajili yetu sisi maskini njoo Yesu wangu njoo kwangu ukae nami.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa