Ingia / Jisajili

NJOONI TUSHUHUDIE

Mtunzi: Joseph Maru Marungu
> Mfahamu Zaidi Joseph Maru Marungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Maru Marungu

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Joseph Marungu

Umepakuliwa mara 518 | Umetazamwa mara 1,515

Download Nota
Maneno ya wimbo
Njooni watu wote njooni tushuhudie ukuu wake Yesu amefufuka mzima,kaburini hayumo ameyashinda mauti mwokozi wetu Yesu kweli kafufuka Leo,kafufuka Yesu mkombozi wetu tumshangilie amefufuka Leo kaburini hayumo mkombozi wetu kaburi li wazi amefufuka kweli,

Maoni - Toa Maoni

Nivard boniface Mar 27, 2024
Inapendeza sana

Toa Maoni yako hapa