Mtunzi: Bukombe L
> Tazama Nyimbo nyingine za Bukombe L
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 4,618 | Umetazamwa mara 9,469
Download Nota Download MidiKama ayala aioneavyo shauku mito ya maji
(Vivyo hivyo nafsi nafsi yangu inakuonea shauku Ee Mungu Ee Mungu wangu) x2
1. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu Mungu aliye hai lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu
2. Machozi yangu yamekuwa chakula cha mchana kila usiku pindi wanaponiambia yuko wapi huyo Bwana Mungu wako
3. Naya kumbuka hayo ni kiiweka wazi nafsi yangu ndani yangu jinsi nilivyokuwa nikienda na mkutano