Ingia / Jisajili

Kama Moshi Wa Ubani

Mtunzi: Frt. Aidanus Chimazi
> Mfahamu Zaidi Frt. Aidanus Chimazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Aidanus Chimazi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Aidanus Chimazi

Umepakuliwa mara 61 | Umetazamwa mara 108

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sala yangu na ipae mbele yako (Bwana) Bwana uipokee kama moshi wa ubani. 1.(a) Kuinuliwa kama sadaka ya jioni... (b) Dhabihu na matoleo yetu uyatakase. 2. (a) Ni sadaka yetu sisi waamini wako (b) Iunganike na Sadaka ya Mwana wako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa