Ingia / Jisajili

Amefufuka Yesu Kristu

Mtunzi: Frt. Aidanus Chimazi
> Mfahamu Zaidi Frt. Aidanus Chimazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Aidanus Chimazi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Aidanus Chimazi

Umepakuliwa mara 101 | Umetazamwa mara 533

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Amefufuka yesu kristu, tuimbe Aleluya Kaburini hayumo tena, tuimbe Aleluya Mwana wake Mungu, leo kafufuka, katoka mzima kashinda mauti, tumekombolewa (sote) kwa damu ya Bwana Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa