Ingia / Jisajili  Changia

Kama Usingekuwa Mungu Binadamu Aseme Sasa

Mtunzi: Wilfred Mkungilwa
> Mfahamu Zaidi Wilfred Mkungilwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilfred Mkungilwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Wilfred Mkungilwa

Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 32

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Kama Usingekuwa Mungu Binadamu na aseme sasa Mwovu alivyonikabili ulinishindia uliweka ulinzi mbele nyuma pembeni nikabaki salama kwa mkono wa Mungu ninasonga mbele×2 2.Kalaniwa ni mtu yule asiyemtegemea Mungu bali kaweka Tumaini kwake binadamu ulimwengu na vyote kuwa ulinzi wake hakika atashindwa ulinzi wa hakika upo kwake Mungu×2 3.Ni ahadi ya Mungu wetu Daima kulinda watu wake pia Kulinda Mali zetu kuilinda roho mchana na usiku hata tuamkapo Mungu anatulinda mkono wake Mungu upo juu yetu×2 Kibwagizo Waiandaa Meza Mbele ya watesi Umeniheshimu enzini pako umenistahilisha kutawala vyote kwa utukufu wako×2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa