Ingia / Jisajili  Changia

Tujifunze Kuzihesabu Siku Zetu

Mtunzi: Wilfred Mkungilwa
> Mfahamu Zaidi Wilfred Mkungilwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilfred Mkungilwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: Wilfred Mkungilwa

Umepakuliwa mara 47 | Umetazamwa mara 68

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Tujifunze kuzihesabu Siku zetu tuwapo hai ni chache tena ngumu zenye kuchosha sana*2 2.Kuishi hapa kwetu kristo lakini kufa n faida vigumu kupokea mapenzi yako yawe×2 3.Ni kusudi la Mungu wetu kwamba tuwepo hadi leo tufanye kazi yake kwa utukufu wake×2 4.Hitimisho la utumishi ni matunda ya kazi yako uwapi ndugu yangu kupokea ujirax2 Kibwagizo Kiburi chetu n upofu tunasahau kuwa hapa tusafarini makao yetu n Mbinguni kwake Mungu baba jitakase uwe safi tubia Dhambi zako×2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa