Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 5
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka
kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili x2
BETI
1. Maziwa ya akili yasiyoghusiwa ili kwa hayo mpate kuokolewa
2. ili kwa hayo nipate ku ukulia waokovu wake mungu aleluya