Ingia / Jisajili

Kama Watoto Wachanga

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 1

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                             KAMA WATOTO WACHANGA

Kama watoto wachanga  waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili, maziwa ya akili yasiyoghoshiwa x2

1) Tufufuke pamoja na kristu, tuishi kama watoto wa mwanga, katika hali na ukweli Aleluya.

2) Mtukuzeni Mungu ndiye shime yenu, mshangilieni mungu mshangilieni Mungu wa Yakobo

3) Katika shida uliniita nikakuokoa, nilikuitikia katika sitara ya radi


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa