Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Shukrani | Watakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru
Umepakuliwa mara 852 | Umetazamwa mara 2,522
Download Nota Download MidiKiitikio.Ee Bwana nitakutukuza Ee Bwana nitakutukuza Ee Bwana kwa maana umeniinuax2
Mashairi
1. Umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu, umeniinua nakunitoa miongoni mwao washukao shimoni
2.Mwimbieni Bwana zaburi enyi watu wake nakufanya shukurani kwa kumbukumbu la utakatifu wake
3.Maana ghadhabu za Bwana zadumu kidogo, katika radhi yake mna uzima kidogo huja furaha