Mtunzi: Iman M. Ollomy
> Mfahamu Zaidi Iman M. Ollomy
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Mafundisho / Tafakari | Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,104 | Umetazamwa mara 4,986
Download Nota Download MidiKama Watoto Wachanga waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya x2:
Mashairi:
1. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu mshangilieni Mungu wa Yakobo.
2.Paazeni zaburi pigeni matari na kinanda chenye sauti nzuri na kinubi.
3. Pokeeni furaha ya utukufu mshukuruni Mungu aliyewaita kwa ufalme wake mbinguni.