Ingia / Jisajili

Kamjaribu Kwa Sadaka Na Zaka

Mtunzi: John Kasole (Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kasole (Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kasole (Jk)

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: gervis ladislaus

Umepakuliwa mara 1,699 | Umetazamwa mara 4,099

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kamjaribu Mungu Mwenyezi kwa sadaka na zaka halali, (katoe) kidogo ulichonacho toa, Mungu muweza atakujaza

Nenda katoe kwa moyo mnyofu na usio na mawaa, (ee ndugu) katoe, katoe ndugu, Mungu muweza atakujaza

nenda katoe sadaka yako nenda katoe zaka halali kwa MUNGU

MABETI:

  1. Mwenyewe alisema nijaribuni kwa zaka zenu, tutoe zaka kamili kwa MUNGU
  2. ni njia sahihi kwetu kujibiwa maombi yetu, tumjaribu Mwenyezi kwa zaka
  3. la kumi la kipato chako hilo fungu - si lako, mtolee MUNGU akuzidishe.
  4. Tunapotoa tutoe kwa mioyo iliyo safi, tupeleke maombi yetu kwake.
  5. Tumjaribu Bwana MUNGU kwa sadaka - na zaka, tupate kujibiwa sala zetu.

Maoni - Toa Maoni

josaeli Jul 26, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

josaeli Jul 26, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa