Ingia / Jisajili

Kanisa Yetu Kweli Nyumba Ya Mungu

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 1,930 | Umetazamwa mara 5,548

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Kanisa yetu kweli nyumba ya Mungu Yesu yumo anatoa neema.

Mashairi:

1. Nyumba hii nyumba ya sala siyo pango lao wevi, adabu njema tushike

2. Msingi wa nyumba ndiye Petro, shaka hatuna tu imara, jengo la Mungu kanisa.
 
3. Kwa ubatizo humu twazaliwa, kwa kitubio tunaponywa, kwa Ekaristi twalishwa.
 
4. Mwana wa Mungu yu Kanisani, shida na shaka zako toa, yu kitulizo kwa wote.
 
5. Wa duniani na wa mbinguni, na marehemu tu wa moja Mwili wa Fumbo Kanisa.

Maoni - Toa Maoni

Denis Wafula Dec 17, 2022
Shairi zapendeza mno

Toa Maoni yako hapa