Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,562 | Umetazamwa mara 9,208
Download Nota Download MidiKaramu ya Bwana iko mezani mbele tuaipokee kwa shangwe tukaipokee kwa shangwe Yesu atuita x2
1. Chakula safi kutoka mbinguni karamu
2. Ndicho chakula bora cha Rohoni karamu
3. Anayekula yu mzima milele karamu
4. Yesu shisha roho zetu zote karamu
5. Ukae nasi daima milele karamu