Mtunzi: Gervas K. Bihogora
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas K. Bihogora
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 864 | Umetazamwa mara 3,983
Download Nota Download MidiKaramu ya Bwana i tayari Bwana Yesu Kristo anatualika x2
Kula mwili wake ni dawa na kunywa damu yake ni kinga dhidi ya Yule mwovu mwovu shetani x2
1. Yesu asema anaekula mwili wake anaouzima wa milele Bwana asema anaekunywa damu yake anao uzima wa milele
2. Bwana Yesu yeye hukaa ndani yetu na sisi hukaa ndani kwa kula mwili na damu yake mwili na roho zetu kuwa salama
3. Twendeni wote tumealikwa kwake Bwana atushibisha Yeye ni mwema kwa watu wote Ekaristi ni chakula bora