Mtunzi: George Mkude
> Mfahamu Zaidi George Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za George Mkude
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: CYRIL GEORGE
Umepakuliwa mara 415 | Umetazamwa mara 1,251
Download Nota Download MidiKiitikio:
Na hiyo ndiyo ishara kwenu; Mtamkuta mtoto (mchanga); Amelezwa horini; Katika pango la kulishia ng'ombe x2
Shairi:
1. Malaika walifurahi, wakaimba kondeni, waliwatokea wale wachungaji na kuwaambia, mkombozi leo kazaliwa.
2.Wachungaji waenda mbio, kumsujudu mtoto, waliwakuta Maria na Yosefu kule pangoni, wakimtunza mtoto Yesu.
3.Hima nasi twende kwa shangwe, pangoni Bethlehemu, tubebe zawadi zetu kwa furaha tukamsalimu, Mwokozi Yesu kazaliwa.