Mtunzi: George Mkude
> Mfahamu Zaidi George Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za George Mkude
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: CYRIL GEORGE
Umepakuliwa mara 375 | Umetazamwa mara 1,275
Download Nota Download MidiKIITIKIO;
Roho Mtakatifu (Roho), Tushukie x2
Tushushie mapaji yako shuka tuimarishe (Roho) tushukie x2
Roho wa hekima, Roho wa ibada, Roho, (Roho) Roho wa shauri jema (Roho) tushukie x2
SHAIRI:
1. A). Tushushie mapaji yako shuka tuimarishe (Roho) tushukie;
B). Tutambue sauti yako ili tukufuate (Roho) tushukie.
2. A). Elimu akili na nguvu na uchaji wa Mungu (Roho) tushukie;
B). Tuyakumbuke mafundisho ya Bwana wetu Yesu (Roho) tushukie.
3. A). Tufundishe na tukumbushe maagizo ya Mungu (Roho) tushukie;
B). Yaongoze maisha yetu tuushinde uovu (Roho) tushukie.