Ingia / Jisajili

Karibu Kwetu

Mtunzi: Makungu Norbert
> Mfahamu Zaidi Makungu Norbert

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Makungu Norbert

Umepakuliwa mara 355 | Umetazamwa mara 513

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Utangulizi: Sikiliza Mpendwa wangu tayari amebisha hodi, nifungulie mpenzi wangu leo nakuja kuishi nawe. mimi niwako mpendwa wangu shauku yako ni juu yangu, nami niwako mpenzi wangu dhamira yangu kuishi nawe Kiitikio: Karibu (wifi), (wifi) karibu (wifi) karibu (wifi) karibu kwa kaka yetu (jina la mme) karibu kwetu karibu, (Shemeji) karibu, karibu (Shemeji) karibu (Shemeji) karibu Kwa kaka yetu (jina la mme) karibu kwetu karibu. Mashairi: 1. Katika wengi wazuri, wewe alikuchagua uwe kipenzi chake ehee ahee karibu. 2. Maneno yenu mazuri enzi za uchumba wenu leo yametimia ahee ahee karibu. 3.Ya ujana yamepita mjenge maisha mapya Mungu awabariki ehe ahaa daima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa