Mtunzi: Fausto C. Kazi
> Mfahamu Zaidi Fausto C. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fausto C. Kazi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 861 | Umetazamwa mara 2,776
Download Nota Download MidiKaribu kwetu Masiha, Mwokozi karibu ndiwe Mfalme wa Amani, karibu kwetu Bwana utuokoe, Njoo Bwana njoo utuokoe, karibu Bwana karibu njoo kwetu Masiha x2.
Mashairi:
1. Roho zetu zinakungoja kama nchi kame, isiyo na maji, karibu kwetu utuhuishe.
2. Njoo leta amani yako kwenye familia zilizo farakana, Njoo Bwana upatanishe.
3. Njoo kwetu Bwana Njoo hukumu mataifa kwa haki ongeza Amani ya kumjua Mungu, leta upendo kati yetu, Mungu akae pamoja nasi.