Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,940 | Umetazamwa mara 6,904
Download Nota Download MidiKaribuni karibuni kwa chakula cha Bwana x2
Heri walioalikwa, kwa chakula cha Bwana
Karibuni karibuni kwa chakula cha Bwana
Yesu alisema mle huu ni mwili wangu.
Pia alisema mnywe hii ni damu yangu.
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,
Huyo hukaa ndani yangu, nami ndani yake.
Uzima wa roho zetu ni mwili wa Yesu.
Utakaso wa roho zetu ni damu ya Yesu.
Ujongee meza yake, ashibishe roho yako,
Karibuni karibuni kwa chakula cha Bwana.