Mtunzi: Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Mfahamu Zaidi Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Tazama Nyimbo nyingine za Aljeno Elijus Temibara Ngogo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: aljeno elijus
Umepakuliwa mara 489 | Umetazamwa mara 2,214
Download Nota Download MidiKiitikio:
(Enyi wateule wake Bwana karibuni karamuni,Bwana ametuandalia heri wenye moyo safi.) x 2
(Ni mwili wake na damu yake kwa wokovu wetu x2 jongeeni) x 2
Viimbilizi:
1.Mwili na damu yake amana ya upendo, kuleni, kunyweni nyote muishi milele
2. Ndiyi karamu ya heri na tumaini jema, waheri ninyi mlioalikwa na Bwana
3. Ndicho chakula bora cha kushibisha roho zetu,kuleni, kunyweni nyote mkaokolewe.