Ingia / Jisajili

Karibuni Mezani

Mtunzi: M. B. Chuwa
> Tazama Nyimbo nyingine za M. B. Chuwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 387 | Umetazamwa mara 2,274

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Karibuni mezani karibuni karibuni mezani pake Bwana

Kushiriki chakula cha uzima kushiriki mwili na damu yake

1.       Twendeni kwa shangwe mezani kwa Bwana kula mwili wake kunywa damu yake

2.       Ni chakula bora kwa uzima wetu tule siku zote chakula cha roho

3.       Jichunguze kwanza kama wastahili kujongea meza yake Bwana Yesu

4.       Nikinywaji bora kwa uzima wetu tunywe siku zote kinywaji cha roho

5.       Kama hustahili usijisumbue kushiiki meza yake Bwana Yesu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa