Ingia / Jisajili

Karibuni Wakristu

Mtunzi: Gustav G. Hofi
> Mfahamu Zaidi Gustav G. Hofi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gustav G. Hofi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gustav Hofi

Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 41

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Karibuni wakristu tukajongee mezani kwa Bwana tukashiriki mezani kwa Bwana. Mwili wa Bwana ni chakula chenye uzima, damu ya Bwana ni kinywaji chenye uzima. Karibu Yesu moyoni mwangu, ukanilishe kwa chakula chenye uzima, ukaninyweshe kwa kinyaji chenye uzima. Karibu Yesu moyoni mwangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa