Mtunzi: Eng. Joseph Silvester
> Mfahamu Zaidi Eng. Joseph Silvester
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Silvester
Umepakuliwa mara 383 | Umetazamwa mara 1,089
Download Nota Download MidiWateule wa Bwana Mungu, karibuni mezani ili tukale chakula cha uzima wa roho X2
1a) Chakula cha Bwana kipo mezani, chenye uzima wa roho zetu.
b) Tukila na kunywa chakula hiki, atatufufua siku ya mwisho.
2a) Meza yake Bwana ipo tayari, tuijongee kwa moyo safi.
b) Karibuni sote tukashiriki, Bwana Yesu Kristo anatuita.