Mtunzi: Eng. Joseph Silvester
> Mfahamu Zaidi Eng. Joseph Silvester
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Joseph Silvester
Umepakuliwa mara 298 | Umetazamwa mara 1,430
Download Nota Download MidiEe Mungu tusaidie kwani utandawazi huu unakotupeleka si mahali pema, Familia zinakosana kila iitwapo leo, kwani sababu kuu Bwana ni utandawazi, Mungu tunaomba msaada kwani hata nalo kanisa linaathirika kwa utandawazi, hatuendi makanisani eti kisa tuna redio sasa makasisi wakasali na nani
1) Tazama ndoa nyingi zavunjika kisa simu, hakuna uaminifu Bwana sisi kwa sisi sababu kubwa ni utandawazi
2) Wakati wa ibaba sis tunachati, tutasikiaje sauti ya Mungu?
3) Tazama picha chafu zapotosha vijana, hawawazi kusali na ndo nguvu yakanisa tutpataje makasisi wa Bwana?