Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,639 | Umetazamwa mara 3,988
Download Nota Download MidiKazi ya mikono yetu (kazi ya mikono yetu) uithibitishe ee Bwana X2
1. Kabla haijazaliwa milima wala hujaiumba dunia tamgu milele hata milele
2 a) Wamrudisha mtu mavumbini usemapo rudini usemapo rudini enyi wanadamu
b) Maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana na kama kesha la usiku
3 a) Basi utujulishe kuzihesabu siku zetu zote utujalie moyo wa hekima
b) Ee Bwana urudi hata lini urudi hata hata lini uwahurumie watumishi wako
4 a) Utushibishe asubuhi Bwana kwa fadhili zako nasi tutashangilia na kufurahi
b) Matendo yako na yaonekane kwao watumishi wako na adhama yako kwa watoto wako