Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 2,573 | Umetazamwa mara 6,161
Download Nota Download MidiKiitikio: (Wakati sasa umeshafika wa kwenda kutoa sadaka)X2
(Ewe ndugu yangu sasa changamka changamka changamka sasa
nenda ukatoe sadaka yako kwa muumba wako)X2
Mashairi: 1. a)Ni mema mengi sana ametujalia
b)Twendeni mbele zake tukamshukuru
2. a)Simama ndugu yangu twende kwake Bwana
b)Tukatoe sadaka ya kumshukuru