Maneno ya wimbo
KELELE ZA SHANGWE
Mwanzo:Njooni watu wote tutukuze, jina lake Mungu Baba yetu, njooni tumwimbie
Mpigieni Mungu kelele za shangwe tangazeni makuu enyi nchi yote
Kiitikio;sop&alto:Mpigieni Mungu kelele(kelele) za shangwe _tangazeni makuu yake Mungu wetu na sifa za Bwana . _Mwambieni matendo yake yanatisha sana kama nini
tenor:Mpigieni Mungu kelele za shangwe- tangazeni makuu yake Mungu ae sifaze Bwana. _mwambieni matendo yanatisha ae kama nini
Bass:'gieni Mungu kelele za shangwe_'zeni makuu Mungu ae sifaze Bwana
_eni matendo tisha ae kama nini.
1.Pazeni sauti(sauti) zenu imbeni(imba) utukufu wake kwa furaha.
2.Waambieni na watu wa mataifa yote Bwana amelikomboa taifa lake.
Hitimisho:Pigeni kelele imbeni na sifa zake Bwana kwa furaha.
Mwimbieni na wimbo mpya mpeni na utukufu wake.
Na turuke ruke-ruka, Na tucheze cheze- cheza, Na tuimbe imbe-imba
tumsifu MunguĂ—2