Ingia / Jisajili

Kelele Za Shangwe

Mtunzi: Paul Mose
> Mfahamu Zaidi Paul Mose

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Paul Mose

Umepakuliwa mara 199 | Umetazamwa mara 645

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KELELE ZA SHANGWE Mwanzo:Njooni watu wote tutukuze, jina lake Mungu Baba yetu, njooni tumwimbie Mpigieni Mungu kelele za shangwe tangazeni makuu enyi nchi yote Kiitikio;sop&alto:Mpigieni Mungu kelele(kelele) za shangwe _tangazeni makuu yake Mungu wetu na sifa za Bwana . _Mwambieni matendo yake yanatisha sana kama nini tenor:Mpigieni Mungu kelele za shangwe- tangazeni makuu yake Mungu ae sifaze Bwana. _mwambieni matendo yanatisha ae kama nini Bass:'gieni Mungu kelele za shangwe_'zeni makuu Mungu ae sifaze Bwana _eni matendo tisha ae kama nini. 1.Pazeni sauti(sauti) zenu imbeni(imba) utukufu wake kwa furaha. 2.Waambieni na watu wa mataifa yote Bwana amelikomboa taifa lake. Hitimisho:Pigeni kelele imbeni na sifa zake Bwana kwa furaha. Mwimbieni na wimbo mpya mpeni na utukufu wake. Na turuke ruke-ruka, Na tucheze cheze- cheza, Na tuimbe imbe-imba tumsifu MunguĂ—2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa