Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 1,788 | Umetazamwa mara 3,616
Download Nota Download Midi1.Kengele zanena Noeli Bwana amezaliwa x 2......Gloria in excel cis deo.
2.(a)Amezaliwa mkombozi ndiye Immanuel
(b)Mwenye uweza wa kifalme mabegani mwake..Gloria in excel cis deo.
3(a)Wachunga wameshuhudia yakwamba Bwana kaziliwa kule Bethlehemu
(b)Na mamajusi toka mbali wanamtolea zawadi na kumsujudia
4(a)Malaika juu mbinguni wamuimbia nyimbo nzuri yeye aliyezaliwa
(b)Nasisi tuungane nao kumuimbia mkombozi