Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,196 | Umetazamwa mara 7,484
Download Nota Download MidiKikombe kile cha baraka tukibarikicho je si ushirika wa damu ya Kristu? x 2
1. Tuapomshukuru Mungu kwa kikombe kile cha baraka Je huwa hatushiriki damu ya Kristo?
2. Na tunapo umega mkate Je huwa hatushiriki mwili wa Kristo?
3. Kwa kuwa mkate huo ni mmoja sisi ingawa ni wengi tunafanya mwili mmoja, maana sote twashiriki mkate huo huo