Ingia / Jisajili

Kinywa Changu Kitasimulia

Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: DR. CHARLES N. KASUKA

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kinywa changu kitasimulia (Haki), kitasimulia haki na wokovu wako x2. 1.Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiabi_ke milele. 2.Kwa haki yako uniponye uniokoe, utege sikio lako uniokoe. 3.Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwe_nda siku zote. 4.Ndiwe genge langu na ngome yangu, Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa