Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 658 | Umetazamwa mara 1,851
Download Nota Download MidiDondokeni enyi Mbingu, Mbingu toka juu Mawingu yammwage mwenye Haki x2 {Nchi ifunuke na kumtoa Mwokozi, ifunuke na kumtoa Mwokozi x2}
1.Mimi ni Bwana, nifanyaye vitu vyote, nizitendaye Mbingu Mbingu peke yake.
2.Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine, naiumba Nuru nakuhuluku Giza.
3.Mimi ni Bwana, mimi nafanya Suluhu, nafanya suluhu na kuu huluku ubaya.