Mtunzi: Joshua Joesph hwai mmbughu
> Mfahamu Zaidi Joshua Joesph hwai mmbughu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joshua Joesph hwai mmbughu
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: joshua joseph
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 4
Download Nota Download MidiKiitikio;
Kinywa changu kitasimulia (haki na wokovu x3) wokovu wako x2
Maimbilizi:
1.nimekukimbilia wewe bwana nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye uniokoe, unitegee sikio lako uniokoe
2. Ndiwe mwamba wangu wa ma kazi yangu,nitakokwenda siku zote umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome yangu, Ee mungu wangu uniokoe mikononi mwa wakorofi.