Ingia / Jisajili

Kinywa Changu

Mtunzi: Philemon Kajomola {Phika}
> Mfahamu Zaidi Philemon Kajomola {Phika}
> Tazama Nyimbo nyingine za Philemon Kajomola {Phika}

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Philemon Kajomola

Umepakuliwa mara 1,133 | Umetazamwa mara 3,668

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kinywa changu kitasimulia, haki na wokovu wako x 2
Kitasimulia, kitasimuli, kitasimulia haki na wokovu wako x 2

  1. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele kwa haki yako uniponye, uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe.
  2. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwenda siku zote umeamuru niokolewe ndiwe ngome yangu, Ee Mungu wangu uniopoe mkononi mwa mkorofi.

Maoni - Toa Maoni

philemon lagat Jul 04, 2020
hongera sana kwa utunzi wenye baraka tele

Toa Maoni yako hapa