Ingia / Jisajili

KIPENZI CHANGU

Mtunzi: MICHAEL.N.MUTHAMA
> Mfahamu Zaidi MICHAEL.N.MUTHAMA
> Tazama Nyimbo nyingine za MICHAEL.N.MUTHAMA

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: MICHAEL NZUKI

Umepakuliwa mara 1,592 | Umetazamwa mara 3,335

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIPENZI CHANGU (Njoo ewe kipenzi changu njo we nikupe busu Njoo ewe kipenzi changu njo we nikupe busu)*2. (Imetangazwa yakuwa mi nawe ni kitu kimoja, kwenye shida na raha mi nawe ni kitu kimoja)*2 • Siku ya leo, mimi na wewe, tumefanyishwa mwili mmoja. • Natupendane, kama Mwenyezi, alivyo tuonyesha upendo. • Watoto wetu, na tuwalee, kwa njia zake Mwenyezi Mungu. • Tumwombe Mungu, atubariki, na ndoa itadumu milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa