Ingia / Jisajili

Maskini wa Roho

Mtunzi: MICHAEL.N.MUTHAMA
> Mfahamu Zaidi MICHAEL.N.MUTHAMA
> Tazama Nyimbo nyingine za MICHAEL.N.MUTHAMA

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: MICHAEL NZUKI

Umepakuliwa mara 203 | Umetazamwa mara 799

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HERI MASKINI WA ROHO {Heri hao walio maskini wa roho, (kwa maana uufalme wa Mbinguni ni wao)*2}*2 • Bwana hufanyia hukumu wale wote, wale wote walio onewa. • Uwapa wenye njaa chakula cha uzima, na kuwafungua wale walio fungiwa. • Bwana ufumbua macho walio pofuka, tena huinua wale walio anguka. • Uwategemeza yatima na wajane, Mungu wa kweli Mungu wa watu wote. • Bwana uwapenda wote walio na haki, uwapa wote amani ya milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa