Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 977 | Umetazamwa mara 3,967
Download Nota Download MidiMpeni sifa mpeni sifa Mungu mpeni sifa mpeni sifa Mungu Mpeni sifa mpeni sifa Mungu Mpeni sifa mpeni sifa Mungu x2
1. Mpigieni Mungu vigelegele x2 mwimbieni Mungu kwa sauti ya shangwe Mshukuruni Mungu kwa mapendo yake
2. Nitamhimidi Bwana kila wakati x2 katika Bwana nafsi yangu itajisifu, sifa zake zi kinywani mwangu daima
3. Nitalitafakari jina lako Bwana x2 wanadamu wote wakutukuze milele pia nitatangaza maajabu yako