Ingia / Jisajili

Macho Yetu Humwelekea Bwana

Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,834 | Umetazamwa mara 4,223

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yetu humwelekea Bwana (macho) macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu hata atakapoturehemu x 2

  1. Nimekuinulia nafsi yangu Bwana wewe uketiye Mbinguni.
     
  2. Kama vile macho ya watumishi watumishi kwa mkono mkono wa Bwana zao.
     
  3. Kama vile macho ya mjakazi mjakazi kwa mkono mkono wa bibi yake. 
     
  4. Uturehemu ee Bwana, kwa maana tumeshiba dharau, nafsi zetu zimeshiba mzaha, mzaha wenye raha na kiburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa